Sunday, February 12, 2012

HARAMBEE YA CHRISTAVINA KUSAGA CRYOR, $8,801 ZAPATIKANA

 Sunday Shomari akiendesha mnada wa Christavina Cryor uliofanyika leo College Park na $8,801/ zimepatikana, Cash $4,331, Checks $3,420/ na ahadi $1,050
 Magoma na Rebeca (kulia) wakifuatilia mnada
 Mama Hilary (shoto) akiwa na Asia kwenye mnada.
 Waitara akiwa kwenye mnada.
 AJ Ubao akiwakilisha Jacket la ngozi lisilowaka mto ambalo kwenye mnada lilifikisha $120/
 DMK akiwasilisha Jacket ya ngozi ambalo nalo lilinadiwa kwa $ 145/
 Latifa (kulia) akimkabidhi Elius T-shirt yenye picha ya marehemu wakati wa mnada uliofanyikia College Park
 Matinyi (kulia) akikabidhiwa mali yake na magoma baada ya kushinda kwenye mnada
 Watanzania waliojumuika pamoja kwenye mnada huo.
Sam (shoto) akipata picha ya pamoja na Clair.

1 comment:

  1. Mungu awabariki wote walioshiriki, na awatie nguvu familia, ndugu, na marafiki wa marehemu. Apumzike kwa amani !

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake