Sunday, February 12, 2012

NI SAA 12 JIONI( 6:00PM) HARAMBEE BADO INAENDELEA HAUJACHELEWA

 Vitu vilivyoletwa kupigiwa mnada wa Christavina Cryor vikiwa kwnye meza.
 Rebeca akimsaidia Sunday Shomari (hayupo pichani) nguo na vitu vingine vya kupigia mnada.
 Magoma (shoto) akiwa na Mke wake Adela ambae ni dada ya marehemu wakifuatilia mahesabu ya mnada.
 Kushoto ni Edith akiwa na Edah wakilipia viatu kwa Latifa ambae ni mkusanyaji wa pesa za mnada wa Christavina Cryor ambao unaendelea College park sasa hivi.
Sunday Shomari akiendesha mnada.

2 comments:

  1. CONGRATULATIONS DMV TANZANIAN COMMUNITY FOR DEMONSTRATING YOUR MATURITY, CARE, LOVE, AND GENEROSITY.R.I.P CHRISTAVENA

    ReplyDelete
  2. I know kwa kweli watu wa DC tumekua

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake