Sunday, February 26, 2012

TASWIRA ZA MUHIMBILI PRIMARY SCHOOL

Picha za majengo ya Muhimbili Primary School hapa ni sehemu ya mbele na ofisi ya mwalimu mkuu na ofisi za walimu
Madarasa yanavyoonekana kwa sasa
Kushoto ni kantini na kulia ni sehemu wanafunzi wanapopanga mstari asubuhi
Moja ya madarasa.
Moja ya madarasa kwa nyuma
Kati ya darasa na darasa
Upande wa nyuma
Upande wa nyuma
uwanja wa mpira
madarasa kwa juu.
Madarasa ya juu karibu na ofisi za waalimu.

6 comments:

  1. Yaani hii shule iko Kama nilivyoiacha 1985. Siddhani hata Kama imewahi kupakwa rangi

    ReplyDelete
  2. Asanteni mmenikumbusha mbali. Hivi yule mwalimu Ndosi bado
    yupo au?

    ReplyDelete
  3. Mwalimu Ndosi amefariki I think last year na Mwalimu mkuu Msengeni amefariki this week I think, kuna Facebook ya Muhimbili Primary you cna get all the info.

    Asante Luka kwa picha, yaani since 1994 nilivyoondoka its still the same......Wow

    ReplyDelete
  4. DOOO asante sana kwa picha yaani bado haijabdlika kabisa toka nimalize la saba 1986 ,kumbukumbu nzuri sana

    ReplyDelete
  5. No kidding!!!
    Yoo! a shout-out to all Muhimbili Primary School Alumni; To all of us who are in the U.S.A or anyhwere else abroad, we should start an Alumni Fund to Help out our old and dear school to repair/ replace windows paints and other necessary equipments. Let's start this, it is critical, I think. Let's post these pictures to our FACEBOOK page and lets get started!!!
    YES WE CAN !!!

    ReplyDelete
  6. Asante sana kwa kuweka hizi picha shule ya Msingi Muhimbili. Mmenikumbusha mbali sana. Mnamkumbuka Bukaba jamani? Alikuwa darasa la saba mwaka 1989 wakati niko darasa la tatu na alikuwa ndio mtemi wa shule nzima. LOL

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake