Saturday, March 10, 2012

CHEKA UNENEPE

Na Saleh Mohammed.
Muamerika, Mjapani na Mwafrika walikuwa wanaoga sehemu moja ya bafu la wazi. 
Mara mlio wa kifaa ukasikika, mmarekani akanyanyua mkono akasema ni mimi nina Microchip pager in my arm
Ghafla tena simu ikaita , Mjapani akanyanyua mkono akesema ni simu yangu inaita, nina microprocessor kwenye kwapa langu.
Mwafrika akaona amefunikwa sana, akaamua kutoka akaenda chooni, alivyorudi toilet paper ilikuwa inaninginia sehemu za makalio, mjapani na mmarekani wakamuuliza, ni nini hiyo? Mwafrika akajibu, napokea Fax....Mmarekani na mjapani wakazimia

4 comments:

  1. kaaazi kweli kweli!

    ReplyDelete
  2. UKITUMIA TOILET PAPER UTAPOKEA FAX KAMA KAWAIDA, UKITUMIA MAJI HAMNA KITU

    ReplyDelete
  3. DUU ! UMEKIWAHISHA SANA, HICHO NI CHA 2013

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake