Wednesday, April 18, 2012

LUNCH YA USIKU KWA AJILI YA DJ ANIL NA MAMA MWENYE NYUMBA WAKE

Dj Anil Nanji wa Copenhagen, Denmark akiwa na mama mwenye nyumba wake wakati wa harusi yao iliyofanyikia Tanzania na baadae wakafanyiwa dinner ya kuwapongeza na Ally Mbamba ambae anaishi pia Copenhagen, Denmark.
Ustaadh Ally Mbamba ambae aliwaandalia chakula cha jioni Bwana na Bi harusi katika kuwapongeza na kuwakaribisha Denmark baada ya kufunga ndoa kwa sherehe zilizofanyika Tanzania.
 Wageni waalikwa wakijumuika pamoja na maharusi katika chakula cha jioni kilichaandaliwa mahususi kwa ajili yao.
 Majichano yakiendelea huku wageni waalikwa wakibadilishana mawili matatu.
 "Chakula kitamu sana" mmoja ya wageni akiwa anasifia chakula.
 Wageni waalikwa wakiendelea na chakula huku wakibadilishana mawili matatu
 Bwana Harusi Dj Anil Nanji akiongea mchache kutoa shukurani kwa wenye nyumba na kuwashukuru wageni wote kwa kuacha shughuli zao na kujumuika pamoja nao.
 Wageni waalikwa wakipata ukodak moment.
 Lily Nyalusi akipata picha ya kumbukumbu katikati ya jiji la Copenhagen Nchini Denmark.
 Lily (shoto) akipata ukodak moment na Aluwiye 
 Lily kushoto akipata picha ya pamoja na wageni waalikwa.

Kwa picha zaidi Bofya Read More

Picha na Mama Lily (muakilishi wa Vijimambo DK)

5 comments:

  1. SAFI SANA!!!!!
    MDAU DC

    ReplyDelete
  2. Asante Lily mshikaji hapa Dubai

    ReplyDelete
  3. Hongera Dj wetu wa DK kwa kupata jiko. Mmependeza sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. hii inaonyesha ilikuwa bab kubwa maana watu wengine waalikwa si kila mwahali huonekana.

      Delete
  4. Hii ilikuwa bab SPECIAL hapa mshikaji nikiwa Zanzibar

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake