Sunday, April 15, 2012

MATOKEO YA UCHAGUZI DMV

Iddi Sandaly amekua Rais mpya  amemshinda kwa kura 205 dhidi ya Loveness Mamuya ambae amaepata kura 119

Makamo wa Rais ni Raymond Abraham ambae hakua na mpinzani amepata kura 259

Katibu Mkuu ni Amos Cherehani ameshinda kwa kura 192

Jacob Kinyemi kura 82

Rhoda Kasamba kura 40

Muweka hazina ni Genis kura 258 hakua na mpinzani

na Wajumbe wote wamepita.

picha na habari zaidi baadae

2 comments:

  1. DMV speak loud and clear ...

    ReplyDelete
  2. i see some serious logistic here....Cherehani nakufagilia mwanawane, along with all others...

    Congrats!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake