Kura zetu umepata,kura za wana DMV ni zako kwani tuna imani kubwa na wewe.Historia yako,elimu yako,ushiriki wako katika jamii vinatosha kupata kura 90 percent.
Kwa hakika niliposikia tu umechukua fomu nikasema moyoni kwamba sasa ndio tunapata kiongozi tuliyekuwa tunamhitaji. Una sifa zote Elimu nzuri, Mchapakazi. Pia ni mshiriki mzuri kwenye mambo ya kijamii. Mwisho kabisa nakufananisha na Waziri Magufuli ktk utendaji kazi.
Cherehani- Good interview. Nimekukubali. Nimekuendozi.
ReplyDeleteKura zetu umepata,kura za wana DMV ni zako kwani tuna imani kubwa na wewe.Historia yako,elimu yako,ushiriki wako katika jamii vinatosha kupata kura 90 percent.
ReplyDeleteKwa hiyo Cherehani ume kuindose Iddy Sandaly?
ReplyDeleteKwa hakika niliposikia tu umechukua fomu nikasema moyoni kwamba sasa ndio tunapata kiongozi tuliyekuwa tunamhitaji. Una sifa zote Elimu nzuri, Mchapakazi. Pia ni mshiriki mzuri kwenye mambo ya kijamii. Mwisho kabisa nakufananisha na Waziri Magufuli ktk utendaji kazi.
ReplyDeletevery realistic plans....
ReplyDelete