Wednesday, April 18, 2012

TASWILA SIKU YA UCHAGUZI DMV KUTOKA KWA MDAU

Watanzania wakiwa nje kabla ya kuingia ndani kwenye uchaguzi wa viongozi wao wapya wa Jumuiya ya Watanzania DMV
 Kutoka kushoto ni Mgombea wa ujumbe wa bodi Harun Ulotu, Swahili Villa, Tito Mazali na Shabiki namba moja wa Man U
Abou Shatry wa Swahili Villa akipiga kura

1 comment:

  1. nimekuona uncle eddy salaam kutoka NY, MTAA WA KIPATA

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake