Saturday, May 12, 2012

LINAH AKUTANA NA WENYEJI

 Ugumu wa bei ya mafuta umefanya Baiskeli sasa kuchukua nafasi hapa ni nje ya South Station, kituo cha Treni za kwenda mkioani kamera ya Vijimambo imekuta Baiskeli za kukodi zikiwa nje ya Station hiyo.
 Poromota J&P ENTERTAINMENT akiwa na Linah nje ya kituo cha Treni cha South
 Dj Masoud wa Massachusetts akipiga picha na msanii wa Bongo Flava Linah.
kutoka kushoto Dj Masoud, Linah na Mully wakipata picha ya pamoja.
Mully akipata picha na Mzee Chomba ambae ni baba mzazi

1 comment:

  1. Masoud umenoga, lazima nitinge ndani jumba leo

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake