Thursday, June 28, 2012

ALI KIBA ATUA BELGIUM

Mwanamuziki wa kizazi kipya Ali Kiba (kulia) akiwa ametua Belgium tayari kwa makamuzi ya ziara yake ya Ulaya atakayoianza Weekend hii ambapo Tqrehe 14 July 2012 atawasha moto Copenhagen, Denmark. Pichani Ali Kiba akiwa na wenyeji wake.


1 comment:

  1. Super super sana, patakuwa hapatoshii pale Copenhagen.
    Weraaaaaaa weraaaaaaaaaa

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake