Sunday, June 24, 2012

ISKA JOJO MPIGA PICHA NA MBUNIFU WA MITINDO

 Iska Jojo akiwa amevaa kivazi alichobuni na kushona yeye mwenyewe na chini ni viatu vyake alivyofanya ubunifu wake mwenyewe.

1 comment:

  1. Hongera sana dada Iska tunasubiri vitu vyako moto moto.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake