Thursday, September 20, 2012

KATIKA PITA PITA YA VIJIMAMBO KWENYE SHUGHULI ZA WATANZANIA HAPO SASA

Sijuhi ilikuwa music gani hapa kazi kwako mwanavijimambo......:)

6 comments:

  1. Eh! sijuhi mazingaumbwe au music mwenyewe anajua na wale waliekuwepo katika shughuli hiyo........

    ReplyDelete
  2. Huyu Ibra NY ni mikwara tu pamoja na Dean Nyalusi...

    ReplyDelete
  3. Kaaaaaaazi kwelikweli..

    ReplyDelete
  4. Muziki umeingia kwenye damu hapo...Weweee!!!

    ReplyDelete
  5. Labda America got talent aaah!! hapa ni x x x lol

    ReplyDelete
  6. hahahahah....Ebrah love the way u enjoy the music, hakuna kuleta pose ndani ya ndombolo ya solo!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake