Tuesday, September 4, 2012

MKOME KUNITONGOZA FACEBOOK (WITNESZ) MSANII WA KIZAZI KIPYA ANG'AKA


Taarifa maalum kwa wale wote wanaopenda kutongoza Facebook kwa upande wangu sipendi na sitaki kutongozwa kwa kuwa nimeolewa tayari na nina miaka miwili sasa toka niolewe so msijisumbue tafadhari na yeyote atakaye fanya hivyo kuanzia sasa nitalichukulia jambo hilo kama ni kitendo cha dharau na kublock huyu mtu ikiwezekana kulianika hadharani jina lake ninawaheshimu wote na kuwachukulia kama kaka zangu na mashabiki zangu pia, much love!

1 comment:

  1. Usiwe mkali kiasi hicho. Kutongozana ni mambo ya kikubwa hayo. Unafikiri huyo aliyekuoa hatongozi?.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake