Wednesday, March 13, 2013

LUNCH YA NYUMBA MPYA YA DIAMOND OPEN HOUSE

Mama Diamond akiandaa…
Msosi wa nguvu kifamilia zaidi
Esma Khan na Mariam wakiandaa makulaji
Mezani tayari kwa kupata msosi
Mkono umeanza hakuna kijiko hapa raha ya pilau ni konoziiii
Kitu cha tunda hicho embe kutoka Kigomaaaaaa
Das baby boy Moja ya Wasanii nguli toka South Africa
Diamond's Family ikiwa kwenye Meza
Anzo Mafia na President platnumz
Das Platnumz Baby
wit my Luvly mum n ma bway Baby Boy from SOUTH AFRICA
Mafia Mnyama, Mariam na Esma khan
Diamond akiwa na dadaake

11 comments:

  1. nina swali waugwana nijibuni hivi inakuwaje kuaje au ndo ku wa act wenzentu majuu because siku hizi naona kila mwenye nyumba poa bongo hasa hasa wasanii wanajionyesha hivi inakuwaje na ni kweli zao hizi nyumba

    ReplyDelete
  2. Hayo ndio maendeleo! Go boy Diamond go! Na wengine waige,wawatunze wazazi wao uwezo wanapopata! Sio kushindana kuvaa milegezo? Heleni? Wavulana kusuka nywele? Wasichana kuvaa nguo matiti nje hata kama yametepeta lol! Jipende baby boy! Mungu atakuongezea kwa kuwa unajali familia yako.
    Wengine hata hawafikirii maisha baada ya u star kuchuja, you do boy!

    ReplyDelete
  3. Hayo ndio maendeleo! Go boy Diamond go! Na wengine waige,wawatunze wazazi wao uwezo wanapopata! Sio kushindana kuvaa milegezo? Heleni? Wavulana kusuka nywele? Wasichana kuvaa nguo matiti nje hata kama yametepeta lol! Jipende baby boy! Mungu atakuongezea kwa kuwa unajali familia yako.
    Wengine hata hawafikirii maisha baada ya u star kuchuja, you do boy!

    ReplyDelete
  4. Hayo ndio maendeleo! Go boy Diamond go! Na wengine waige,wawatunze wazazi wao uwezo wanapopata! Sio kushindana kuvaa milegezo? Heleni? Wavulana kusuka nywele? Wasichana kuvaa nguo matiti nje hata kama yametepeta lol! Jipende baby boy! Mungu atakuongezea kwa kuwa unajali familia yako.
    Wengine hata hawafikirii maisha baada ya u star kuchuja, you do boy!

    ReplyDelete
  5. Hayo ndio maendeleo! Go boy Diamond go! Na wengine waige,wawatunze wazazi wao uwezo wanapopata! Sio kushindana kuvaa milegezo? Heleni? Wavulana kusuka nywele? Wasichana kuvaa nguo matiti nje hata kama yametepeta lol! Jipende baby boy! Mungu atakuongezea kwa kuwa unajali familia yako.
    Wengine hata hawafikirii maisha baada ya u star kuchuja, you do boy!

    ReplyDelete
  6. Mtu anaonyesha onesha hajakuwa navyo,anaona ndoto tu.wenye navyo kimya

    ReplyDelete
  7. Sijaona kitu chochote cha maana kwenye hiyo nyumba mtu ashangae no virus cya kawaida sana even low income people can afford to have them

    ReplyDelete
  8. Kitu cha maana ulitaka kiwe nini. kila ndege huruka kwa ubawa wake. ridhiki hutoka kwa mafungu na hicho alichopata d ndio fungu lake.tuacheni roho mbaya za kimaendeleo. hongera d. insha allah mwenyezi mungu atakupa zaidi ya hapo. Uzidi kutizsma familia yako na wengine watakao hitaji. ameen.

    ReplyDelete
  9. Hongera kwa hilo,ila bado kwa status yako vyombo unavyotumia vya jikoni na mezani ni local mno.nunua saving dishes za ukweli,vijiko,sahani manini manini.

    ReplyDelete
  10. diamond MUNGU AKUBARIKI SANA MAANA UNAMJALI MAMA YAKO ALIYEKUZAA NA HUJABWETEKA WOTE TUNAJUA ULIKOTOKEA KAZA BUTI USIJALI WATU WANAOVUNJA WENZIO MOYO WENGINE WANAKUONEA WIVU TU USIJALI KAZANI KUJIWEKEA AKIBA MAANA USTAR UNAMWISHO JENGA SANA NUNUA VIWANJA HIZO NI HASET BAADAYE KAMA MUZIKI ITAKUWA HAULIPE UTAKUWA UMESHA JIJENGEA NYUMBA ZAKO NA VIWANJA ZAKO ITAKUSAIDIA

    ReplyDelete
  11. Diamond Mwenyezi Mungu akubariki saaaana kwa kumtunza mama yako, keep it up kwa huyo mama ndo zinapotoka baraka.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake