Hii picha imenifanya nitafakari lililotokea Arusha juzi. Dada katinga ushungi ( Hijabu?) kaka katia mslaba mzito shingoni. Kama sijakosea hizi ni ishara za dini, nimefurahi kuona kuwa bado tuko pamoja.
This is a very nice picture. Not everyone thinks family is first. Plenty of MEN abandon there children. Good for you my brother. More men need to learn from you. Much love to you. Continue to take care of your baby
family fist lakini si mijisifa kila mtu anajua hilo
halafu aliyetoa comment wa mwanzo eti kaka katinga msalaba jaja hijabu ushungi eti poa kakwambia nani asiyejui dini vizuri ataona sawa lakin anayeijua dini hii si sawa kabisa call me what you want but hivi sivyo kabisa
Hii picha imenifanya nitafakari lililotokea Arusha juzi. Dada katinga ushungi ( Hijabu?) kaka katia mslaba mzito shingoni. Kama sijakosea hizi ni ishara za dini, nimefurahi kuona kuwa bado tuko pamoja.
ReplyDeletesafi sana baba yangu! naona ulivyopendeza na mwanetu mpendwa
ReplyDeleteMashallah motto umependeza
ReplyDeleteThis is a very nice picture. Not everyone thinks family is first. Plenty of MEN abandon there children. Good for you my brother. More men need to learn from you. Much love to you. Continue to take care of your baby
ReplyDeletefamily fist lakini si mijisifa kila mtu anajua hilo
ReplyDeletehalafu aliyetoa comment wa mwanzo eti kaka katinga msalaba jaja hijabu ushungi eti poa kakwambia nani asiyejui dini vizuri ataona sawa lakin anayeijua dini hii si sawa kabisa call me what you want but hivi sivyo kabisa