Tuesday, May 7, 2013

Shambulio la bomu Arusha, Tanzania video ya bomu lilivyolipuka kutoka VOA

3 comments:

  1. msijali mtalipwa mabilioni ya ruzuku za walipa kodi tena mnawajua wakina nani wanalipa kodi sana tanzania na haki hamuwapi mnachota mepesa kama zenu na kisikizio kujiripua

    ReplyDelete
  2. watanzania wapo macho sana na matendo haya mnayo wazuga nayo msidhani watu mabwege na tunasubiri tusikiye wakina nani na tusajua mipango yenu mnayo isuka mnazani tumelala kumbe tupo macho makavu

    ReplyDelete
  3. tunasubir kwa hamu kuona watu watakavyo bambikwa mikese ya kinafiki kwa hili tukio wakati walio fanya wanatulia tuli nakujichekea na kunywa mvinyo na nyama choma

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake