Sunday, May 26, 2013

TANZANIA KUWAKILISHWA NA WAKWAKILISHI WAWILI BIG BROTHER AFRICA 2013

Ammy Nando (actor)
Tanzania itawakilishwa na washiriki wawili Big Brother Africa 2013 inayoanza leo Mei 26, 2013 muakilishi mwingine ni Fedha Kessy, Ammy Nando jina kamili Amir Khan ni Mtanzania anayeishi Los Angeles, California na kazi yake ni model na Actor Hollywood.

2 comments:

  1. Huyu ni Mtoto wa nancy assenga

    ReplyDelete
  2. Woow nancy umekuza kijana mzuri mashallah goodluck

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake