Monday, June 17, 2013

HAPA NA PALE YA VIJIMAMBO NEW YORK CITY

Picha tatu za juu ni Columbus Circle New York city pakiwa busy watu wakienjoy summer weather
 Pichani juu na chini: Khadija Nyang'anyi akiwa New York City kwa weekend hapa akiwa nyumbani kwa Ebra Ny, alivyoenda kumsalimia.
 Ebra Ny akiwa katika kiwanda cha kutengeneza chupa huko Brooklyn NY. 
 Hiki ni chungu cha moto cha kuyeyushia material ya kutengeneza chupa
 Mtaalam wa kutengeneza chupa akiwa kazini kiwandani hapo

1 comment:

  1. haya yaha tena bro ibra kama kazi haya haya usilaze damu baby boy

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake