Sunday, June 9, 2013

IBADA YA MAREHEMU DMV

Liz and Pam Luhanga Wanakukaribisha kwenye Ibada ya kumuombea niece wao mpendwa Bertha Asia Nsekela. Itakayofanyika Leo June 09 2013 @ 4pm sharp..
9911 Good Luck Rd apt 101, 
Lanham Md 20706
Bwana Ametoa Bwana Ametwaa Jina Lake Luhimidiwe..

3 comments:

  1. Poleni sana, This is very sad and painful. Mimi kama mzazi sijui chakusema. Mungu ambariki Bertha na wazazi na ndugu zote pamoja na marafiki.

    ReplyDelete
  2. May ur beautiful soul R.I.P dear kazi ya Mungu haina makosa bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe daima na milele Amen poleni Sana Pam na Elizah mwenyezi Mungu awapeni nguvu Amen.

    ReplyDelete
  3. Poleni sana kwa msiba...japo hatukupata nafasi ya kuja lkn tulikuwa pamoja kiroho..Mungu wa huruma na rehema awafariji.Amen!!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake