Mwanadiaspora Dj Dennis Shengena alonga na Vijimambo aelezea maisha yake kwa ufupi, Je alishawahi kupiga muziki wa Club Tanzania? Hapa Marekani Je? ni nini kilimleta Marekani, Mabasi ya Shengena yanauhusiano gani na jina lake la ukoo? ni Dj gani wa Bongo enzi hizo aliyekua anamchengua, pamoja na mambo mengi MSIKILIZE
ni twin cities not twin towers DJ Luke lol!
ReplyDeleteSawa Mukubwa, good interview.
ReplyDeleteAsante sana Luka. Tovuti yangu ni http://www.ThaFunkHouse.com nipitie ukiwa na muda.
ReplyDeleteMzee Denis, eeee bwana umenikumbusha mbali sanaaaa. Mwanangu kumop si mchezo. Big Up Denis. Very honest guy since back the days.
ReplyDeleteAsante sana Baraka. Hiyo kitu ya kupiga deki ni balaa jamaa.
ReplyDelete