Friday, June 21, 2013

TAZAMA NYIMBO MPYA P-SQUAR PERSONALITY

3 comments:

  1. Sijui bongo flavour artists watafikia kiwango hicho lini na kuacha kutembeatembea kwenye stage?

    ReplyDelete
  2. Mdundo mzuri sana, Ila maneno yame goma haya eleweki kabisa, halafu ameiga mno kukawa hakuna touch ya Kitanzania/Kiafrica maana hapo naona touch ya Neo na Michael Jackson na Chris Brown......Ingenoga zaidi kama angeiweka kiafrica Africa hiviiiii.

    ReplyDelete
  3. Jamaa wakali sana, hope bongo tutaiga , artist wa bongo too much drama kila kukikucha

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake