Kwakweli mie kwa upande wangu sijali nani kapanga au ni chama gani kinacho takiwa ni serikali kuwa macho sana, serikali inatakiwa ikaze buti kukemea na kuwa tia ndani/jela magaidi woote maana huu ni ugaidi wa ndani ya nchi kabisa. Hali hii si nzuri hakika. Inatia aibu na inaogopesha sana hakika. Tanzania ilikuwaga ya amani sasa imekuwa ya kumwaga damu. It is a big shame.
Hii imepangwa na chadema ukiangalia unaona ni mchezo aw chadema waonekane wanaonewa Hamna kitu hapa
ReplyDeletesiyo chadema ila ccm ndo wanaofanya mambo haya wabaya sana watu hawa wa ccm
ReplyDeleteKwakweli mie kwa upande wangu sijali nani kapanga au ni chama gani kinacho takiwa ni serikali kuwa macho sana, serikali inatakiwa ikaze buti kukemea na kuwa tia ndani/jela magaidi woote maana huu ni ugaidi wa ndani ya nchi kabisa. Hali hii si nzuri hakika. Inatia aibu na inaogopesha sana hakika. Tanzania ilikuwaga ya amani sasa imekuwa ya kumwaga damu. It is a big shame.
ReplyDeleteIt is sad,especially when the ones who are hurts are innocents.i saw a little girl she was also hurts and in shock.i hope she gets well.
ReplyDelete