Saturday, September 28, 2013

Maalis Seif azungumza na Wazanzibari waishio Dar es Salaam

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Wazanzibari wanaoishi Dar es Salaam katika hoteli ya Starlight jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wazanzibar wanaoishi Dar es Salaam, wajitokeza kumsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, katika hoteli ya Starlight jijini Dar es Salaam

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiwapungia mkono wananchi wakati akitoka katika ukumbi wa hoteli ya Starlight jijini Dar es Salaam, baada ya kuzungumza na Wazanzibari wanaoishi Dar es Salaam.

3 comments:

  1. Sasa bloggers mnachemsha hapa tu. Kazi kuweka picha tu kilichosemwa ni nini katika mkutano huu muhimu - hakuna. Wasomaji wanataka content sio picha tu, hatujaelewa chochote kipya kutoka mkutano huu aghhhhhh

    ReplyDelete
  2. Yaani alikuwa akizungumza na Wahamiaji haramu (illegal aliens) kutoka NCHI KAMILI yaani Jamhuri ya Watu wa Zanzibar sio? Kwao ni kwao wenyewe...Kwetu pia Kwao!

    ReplyDelete
  3. Naomba kuuliza,hivi wanawake hawaruhusiwi kuwa kwenye hii mikutano? Naona wanaume tu. Au wako chumba kingine?

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake