ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 16, 2013

MAZISHI YA BI. MARTHA SHANI NCHINI TANZANIA, SINGIDA

Alex akipewa pole na Shangazi wa Martha.
Kwa niaba ya Familia, Kamati ya Mazishi Marekani na Tanzania na ndugu na jamaa wote kwa ujumla tumeona ni vyema nanyi mkaona matukio yote kwani mlishiriki katika msiba huu. Kwa mara nyingine tena tunatoa shukrani zetu za dhati kwa wote mliofanikisha Shughuli zote Usafiri, Maandalizi mbalimnbali na hatimaye kuuhifadhi mwili wa mpendwa wetu, dada yetu, rafiki na kipenzi chetu Bi. Martha Shani.Mazishi yalifanyika Puma Sindiga siku ya Alhamisi ya Octoba 31, 2013. 
Kushoto; Vincent Mughwai, Joseph, Alex akimshikia mtoto Chris beleshi akiweka udongo katika kaburi la Mama yake, huku Mchungaji Peter Ihema wa Kanisa la Pentekoste Puma akitazama . Mazishi yalifanyika Alhamis Oktoba 31, 2013 Puma-Singida.
Alex, Joseph, DMK, Muddy wakiwafuatilia shughuli za Mazishi Alhamis Oktoba 31, 2013 Puma-Singida.

6 comments:

Anonymous said...

luka tangu tarehe 30 unatuekea leo wewe vipi wewe

Anonymous said...

Mungu akutie nguvu kwani hakuna mwingine kama yeye aliye baba wa yatima na wajane.

Anonymous said...

Kama kazipata leo jamani binadamu acheni kulalamika.

Anonymous said...

Wewe vipi Anonymous.. baada ya kushuru jambo la maani limefanyika ur worring about pic life.. really get a life..

Anonymous said...

Mijitu kwa kulaumu... Kama ulipenda kuona fastasts kwanini hukuenda mazishini ukaone live? Kwani ulimuona Luke mazishini? How sure you are kama na yeye kapata late hizi picha??? Acha lawama zisizo na mpango. Hukulazimishwa kuingia viji.--- mkereketwa

Anonymous said...

Pole ndg Alex, jipange vizuri kwa malezi ya watoto. Lakini kupitia jamii ya wanadamu Mungu ameonekana kwako. Wewe binafsi unasehemu gani ktk utendaji wa Mungu hadi sasa? Kazi kwako Alex.