Ni siku kadhaa zimepita toka taarifa itoke kwenye mitandao kadhaa ya nchini China kuhusu binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 akamatwe na dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani laki moja huko Macao China ambapo vyombo kadhaa vya Tanzania vimeripoti kwamba binti huyo anadaiwa kuwa Jackie Cliff ambae amewahi kuonekana kwenye video kadhaa za wasanii wa Kitanzania.
Kifuatacho ni kilichoandikwa na RayC, mwimbaji wa Kitanzania ambae katika stori zake kubwa za maisha ni pamoja na kuingia kwenye utumiaji wa dawa za kulevya uliompoteza kabisa kwenye muziki na ramani ya maisha mpaka kufilisika.
Credit: Millard Ayo



Ray c i feel you sis, yaani basi tu kwavile Mungu alituagiza tisamehe saba mara sabini ila ukweli mi hata akinyongwa sitasilitika hapa nina uchungu mdogo wangu ameathirika na hayo majitu yaani mpk ilifikia hatua anauza vitu home na.kutaka kukaba watu ili tu apate senti ya kununua hivyo vitu yaani basi tu hawa watu wanaoteketeza vijana wa taifa letu wanyongwe tu, nina hasira sana nao kwaajili tu ya mdogo wangu na vijana ambao wameathirika na haya mambo.
ReplyDeleteMh! Kasheshe
ReplyDeleteBongo tambarare. Wazee WA miifa sasa mateja wanakumalizeni kama walituteketezea ndugu zetu Zanzibar.
ReplyDeleteMigari migubwa, mijumba mikubwa. Ushuzi hautoi sauti kwa kuifanya miili yenu kontena. Mashine za kugalia dawa za kulevya au mmbwa WA kunusa madawa hawajui umzuri kiasi gani. Whatch out!!