ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 22, 2014

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Kijiwe No 59 from Luke Joe on Vimeo.

6 comments:

Anonymous said...

kijiwe kizuri sna kwakwei nafatilia vipindi vyenu vinafurahisha kuchekesha sometime natamani ningie nimnyamazishe mtu ana makeleleee ila tunampenda anachangamsha sana kijiwe

m mungu awajalie sana awape afya awape riziki ya kulipa billz zenu afanikishe ndoto zetu.

ankal nimefurtahi sana kukuona ubarikiwe iwish ungekuja huku nikupe zawadi ya mama mwenye nyumba yako

vijimambo oyeee

Anonymous said...

Jamani wazito wote mpo ma waanzilishi na Mpwa na michuzi ,tumefurahi Michuzi katufafanunulia kuhusu hiyo tishert, kweli hiyo ni kinga ,maana ilikuwa sio kawaida kwa mtu kama michuzi kurudia rudia hiyo tishert , mara kwa mara mnafanya kazi nzuri na tuko na pamoja na nyinyi serikali ya Tanzania,imesema itawakukunbuka,kwa kweli mnafanya kazi nzuri.

Anonymous said...

Kwa kweli kijiwe kimependeza leo sana .

Anonymous said...

hahahahahah...my benja is baaack...raha ya vijimambo

Anonymous said...

kuna watu huko kwa michuzi wanalalamika eti makelele mengi.

jamani eeh kijiwe manaake makelele....makelele ndo the whole point ya kijiwe. ushaenda kijiweni ukakuta watu wanajadiliana kama wako ofisini? hiyo siyo mijadala ya board room. ni KIJIWE...i like it just the way it is, inasereve the purpose

Anonymous said...

Michuzi kasha delete hicho kipindi kwenye blog yake ameona makelele na negative comments nyingi naona kama hakifagilii hiki kipindi vile