Friday, April 18, 2014

KWA MARA YA KWANZA UTILIVU WATAWALA BUNGE MAALUM LA KATIBA.


 Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu Mhe.Samia Suluhu akiwa anafuatilia mchango wa Mhe.William Lukuvi kwa makini.
Hali ya hewa yarejea kuwa ya kawaida bunge maalum la katiba mjini Dodoma jana
  Hali ya Ukumbi Ulivyo kuwa Leo ambapo  Wabunge wakifuatilia jambo kwa makini na ustaarabu wa hali ya juu.
 Wabunge wakifuatilia jambo kwa makini.

Picha kwa Hisani ya Michuzi Blog

1 comment:

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake