Siku ya Muungano iliadhimishwa vyema jioni ya leo katika viwanja vya George Bush Park, Houston. Shughuli ya Muungano ilianza mida ya saa nne ya asubuhi kwa michezo ya watoto,muziki na vyakula mbalimbali.Mwenyekiti wa Jumuiya ya THC aliishukuru jumuiya ya wafanyabiashara (Ephrahim-Our Realtor, Mican Staffing, Faraji Insurance, Safina Tanzania) wa kitanzania ambao walidhamini sherehe hizo wakishirikiana na Safari Entertainment. Pata taswira mbalimbali:
Mwenyekiti wa Jumuiya Bi.Nuru Mazoro akiwa na Katibu Mwenezi Bw.Said Nusura
hatutaki muungano hatutaki muungano tunataka muungano wa mkataba nyinyi sherehekeeni huu muungano kwa nyama choma za bure sisi tunatuliza ball na kutafakari kung'oka katika jini SUBIYANI la huu muungano balaaaa

ReplyDelete