mungu akubariki akubariki sana tena sana dj luke ungekuwa si wewe kutuwekea clip hii tungejuaje mambo ya nyumbani yanayotokea, mungu akubariki sana kabisa kweli umetoka katika mifupa ya wazazi wako.
nilikuwa nikisoma comment za watu wanamlalamikia na kumwambia eti professa lipumba pamoja na tundu lissa wamemtukana mwalimu nyerere na sheikha abeid aman karume na kutumia neno ITARAHAME VIBAYA kumbe nilivyosikia hii clip ni tafauti kabisa.
kweli siasa ni mchezo mbaya na mchafu na kweli kama hujui kitu kwa undani wake utakurupuka tu na kufuata maneno ya vijiweni kwamba huyu professa katumia neno ITARAHAME vibaya kumbe uongo
mungu akubariki akubariki sana tena sana dj luke ungekuwa si wewe kutuwekea clip hii tungejuaje mambo ya nyumbani yanayotokea, mungu akubariki sana kabisa kweli umetoka katika mifupa ya wazazi wako.
ReplyDeletenilikuwa nikisoma comment za watu wanamlalamikia na kumwambia eti professa lipumba pamoja na tundu lissa wamemtukana mwalimu nyerere na sheikha abeid aman karume na kutumia neno ITARAHAME VIBAYA kumbe nilivyosikia hii clip ni tafauti kabisa.
kweli siasa ni mchezo mbaya na mchafu na kweli kama hujui kitu kwa undani wake utakurupuka tu na kufuata maneno ya vijiweni kwamba huyu professa katumia neno ITARAHAME vibaya kumbe uongo
AHSANTE NA AHSANTE SANA DJ LUKE KWA HII CLIP