hawa ambao hawataki kukubali maoni ya wananchi yaliyokusanywa na tume iliyoundwa na Rais ni tabu kuwaelewa wanataka nini hasa... CCM na wafuasi wao kwa nini hawataki haya maoni ya wananchi? kuna siri gani?
siri kubwa ni kuzidi kuwanyonya wazanzibari na mwisho wa siku zanzibar ipote na iwe mkoa kama mikoa yote iliyopo tanganyika hii ndo siri kubwa hasa
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku yake
hawa ambao hawataki kukubali maoni ya wananchi yaliyokusanywa na tume iliyoundwa na Rais ni tabu kuwaelewa wanataka nini hasa... CCM na wafuasi wao kwa nini hawataki haya maoni ya wananchi? kuna siri gani?
ReplyDeletesiri kubwa ni kuzidi kuwanyonya wazanzibari na mwisho wa siku zanzibar ipote na iwe mkoa kama mikoa yote iliyopo tanganyika hii ndo siri kubwa hasa
ReplyDelete