Tuesday, May 6, 2014

MAJERUHI WA BOMU LILILOLIPUKA KANISANI JIJINI MWANZA

Mmoja wa majeruhi wa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana jana usiku.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, amesema mlipuko unaodaiwa kutokea jana, ulitokana na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana

1 comment:

  1. najiuliza kwanini ugaidi dhidi ya makanisa hutokea kwenye maeneo yenye wabunge wa upinzani? ie Zanzibar(CUF), Arusha(CHADEMA) na sasa mwanza(CHADEMA)?

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake