Mwanamuziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amebadilisha jina la Hoteli yake mpya anayotarajia kuifungua maeneo ya Mwananyamala, awali jina la Hoteli hiyo aliiita Chuna Buzi Hotel lakini baada ya ushauri sasa anaipa jina la Igunga One Restaurant.
“Nimeamua kubadili jina baada ya kushauriwa na rafiki zangu, maana jina la kwanza lilikuwa na utata, na hata lilikuwa na maswali mengi kwa wapita njia, lakini jina la sasa lipo poa kila mtu kalifurahia,”anasema
Moja ya sababu nyingine iliyopelekea kubadili jina na kuipa jina la Igunga One Restraurant, ni kutokana na huduma itakayopatikana katika Hotel hiyo kutauzwa vinywaji baridi na vileo, alisema Shilole.Credit:US

Hii ni hoteli, lounge, restaurant au ni nini?
ReplyDeleteNa wewe mwenyewe pia ubadili jina maana Zuwena halikufai unaudhalilisha uislamu kwa kuvaa uchi na kuchezesha makalio yako juu ya mapaja ya kila mwanamme ukiwa ushalewa kwenye show zako. Kiukweli Allah atakupa adhabu kali sana kesho kiama ikiwa hutabadilika. Badilika na uombe maghfira.
ReplyDeleteingunga ina stand for what?tueleze bibiyeee ukitulia akili
ReplyDelete