Monday, May 5, 2014

UWANJA UTAKAOCHEZEWA MTANANGE WA NEW YORK NA DMV HUU HAPA


 Wanja utakaochezewa mechi ya New York na DMV Jumamosi May 24, 2014 saa 10:30 Jioni tunaomba Mashabiki pamoja na wachezaji wafike saa 10 kamili jioni Uwanja tumelipia kwa saa chache  tuzingatia muda.

Address ya uwanja ni
Walker Mills Park
8001 Walker Mills Rd,
Capitol Heights, MD 20743 
 Jukwaa la Mashariki ya uwanja litakalo kaliwa na Mashabiki wa DMV
Jukwaa la Magharibi ya uwanja litakalo kaliwa na mashabiki wa New York

1 comment:

  1. Sasa ndio mnajidai kuosha sio, kwenye mechi ya muungano kulikua kuna hela zimetegwa specifically kwa kukodi uwanja, watu flani flani wakapiga mkwanja, na pia tunajua kama kila timu ilikua ipate mia sita, mkapiga mkwanja( nimemsikia waziri wa Zanzibar na maskio yangu mawili kama hizo hela watu wagawane, kama mpango huu community zetu zitaendelea kweli..Kazi ipo.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake