Sunday, June 15, 2014

DIAMOND LIVE IN KANSAS CITY- JULY 4TH WEEKEND -THE EAST AFRICAN MIDWEST EXPERIENCE AT THE MAJESTIC SOUTH TOWN PAVILION


9 comments:

  1. huyo ni nani wa kutulipisha 40 $?is he kidding?

    ReplyDelete
  2. jamaa karudi tena marekani au alikuwa kaficha si tulisikia ameshaondoka au ndo pesa za wakuu wa nchi kazipata kurudi tena

    ReplyDelete
  3. aturudishie kwanza hela yetu aliyotuibia kwenye show ya New jersey

    ReplyDelete
  4. nendeni kawadaini mapromota wake walimleta wao ndo wanaopanga hizo bei kulipa fidia ya kumleta na kumuwekea makazi. watu wa marekani njaa tupu huku mnayo what is $40 dollars are you kidding jamaa huyu ni star bongo akije u.k anafanya show na wala watu hawalii kwa kulipa show akiruka ulaya na Africa ya kati ana fanya show na watu wala hawalii kwa kiingilio tena ni zaidi ya dollar 40 ARE YOU KIDDING,nnatoa comment zako zakilofa lofa na za umasikini na uko marekani what a shame rudi nyumbani uje kumjua huyu ni nani .

    marekani wote tunakujuweni mnamajisifu sana na kujifanya watu wa maana kumbe njaa kali inakuubuweni na mnateseka sana na maisha huko.

    toa ujinga wako ukitaka pesa zako nenda kwa mapromote wenu wenye njaaa na ujanja ujanja wao.

    jamaa ni kifaa na nyimbo zake ni pomba poa.

    watu wa new York wote mnanjaa na mnateseka na maisha huko poleni sana RUDINI NYUMBANI,NYUMBANI NI NYUMBANI

    ReplyDelete
  5. huyu mtu mmoja wa new jersey ametia aibu kwa watanzania wote wa new jersey kwa kudai hela yake mmm mweee

    ReplyDelete
  6. Kuhusu show new Jersey siyo yeye in ma promoter wenu uchwara, walimlipa pesa ya dakika kumi na tano tu .ndiyo maana mkapewa kiduchu , mbona hawakumleta DC ! Wanajua hatutaki upuuzi , ndiyo mkauziwa mbuzi kwenye mfuko huko New Jersey

    ReplyDelete
  7. hujaweka comment imekuuma na wewe luke nahisi mtu wa d.c njoeni Europe mle maisha na mtoke na ziki zenu huko mlipo zakudai $40 what a shame na hii pia usiiweke

    ReplyDelete
  8. next time diamond usikubali kwenda marekani watu wahuko wana njaa sana na wanapenda vitu vya dezo dezo

    ReplyDelete
  9. mh,dezo?tunapenda vitu vya dezo?huku kiwanja ndo maana watz tupo tofauti na wtz waishio nchi nynginezo,tena kama ndo uk hata msiongee,maisha yenu mmefulia hamtoki mpaka muuze sembe,na bado,nyie ndo wa kurudi tz.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake