Wednesday, June 4, 2014

DIAMOND PLATNUMZ & HIS CREW SUPPORTED BY FASTJET TO SOUTH AFRICA FOR MTV AFRICA MUSIC AWARDS.

Diamond, Wema na Aunty Ezekiel safarini South Africa kwenye
tuzo za MTV Africa Music Awards
Kupitia Instagram yake Diamond ameandika:

"Asante sana @fastjetofficial kwa kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea kwenye Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa.. hakika nyinyi ni Mfano Bora.. Kama Hauna Taarifa bado, Kampuni ya Fast jest sasa imeanzisha huduma mpya ya kutoka Tanzania hadi South Africa... kwa maelezo zaidi follow Account yao Hii @fastjetofficial @fastjetofficial"



All the best Diamond Platnumz"

6 comments:

  1. Bravo Fast jet. .

    ReplyDelete
  2. alishaondoka US? nilikuwa nawahofia dada zetu wasijepata virusi halafu wakatupa na sisi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nafikiri wewe akili yako ina virusi ndio maana unawaza ngono kwa kila mtu!!!

      Delete
  3. Well done Fastjet at $100 dollars a sector you give more of us the chance to fly

    ReplyDelete
  4. alishaondoka thank God. huyu bwamdogo kanikoroga nyongo sana this time around. I put so much effort kwenda kum-support hadi nika-call out job which put me in trouble halafu akatoa show kwa nusu saa! everything was so disorganized and i am sad to say show za wasanii wa bongo mimi basi! nitawasikiliza tu kwa cd au youtube au kwenye shuguli

    ReplyDelete
  5. ulimlaumu huyu bwana mdogo ni promote zake walaumu wenye misifa sifa ya kitoto toto ndo waliompangaia hii show.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake