Sunday, June 15, 2014

EVE SASA KUJULINA KAMA MR. AND MRS. MAXIMILLION COOPER

Eve akiwa na mume wake baada ya kuoana, 
 Hapa ni sehemu ndoa yao ilifanyika na kuhudhuriwa na ndugu na marafiki huko Blue Marlin beach Ibiza, Spain. Mr Maximillion Cooper na Eve walikuwa wachumba toka 2010.
Eve akiwa na mume wake na watoto wake wakufikia.




1 comment:

  1. mbona mtu mzima hivyo au ndo mzungu? na opportunity kibao au siyoo

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake