Friday, June 27, 2014

KIJANA MMOJA HUKO GERMANY AAMUA KUJITOBOA KINYWA YA PILI SHAVUNI

 Hapa joel akionyesha kinywa yake ya pili pembeni ya Shavu lake na ulimi umetoza, dunia ni watu na watu wenyewe ni sisi sisi.
Joel amefunga mdomo na bado unaweza kuona meno kupitia shavuni.

2 comments:

  1. Du sasa huyu ni nini amekosa, au ndio kutafuta attention?

    ReplyDelete
  2. Anatafuta wafuaasi.Haya wenye kuiga kazi kwenu.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake