Monday, June 16, 2014

NANDO: NIPO TAYARI KUMUOA LULU

2 comments:

  1. Yaani huyo mtangazaji ni mbaya sana wala hana sifa ya kuwa mtangazaji maana anabana sauti haitoki wala hasikiki kabisa,sijui hiyo kazi kampa nani?Hovyo kabisa wala hafai kupewa hiyo kazi!

    ReplyDelete
  2. Nando pole. sana inaonekana ujaweka akili sawa kwani jinsi unavyojielez utadhani uko mtaani. Unahitaji msaada kumbuka wewe ni kioo ch jaamii

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake