ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 13, 2014

TEAM LIBE FOR DMV COMMUNITY PRESIDENT 2014 HAITAMBUI UONGOZI MPYA WA ATC METRO 2014

Aliyekua Mgombea wa Urais Ndg. Liberatus Mwang'ombe

Tunapenda kutoa taarifa kwa Umma wa DMV kuwa, Team Libe for DMV Community President 2014 hatutambui uongozi mpya ulio tangazwa na Tume ya Uchaguzi jana August 11, 2014. Msimamo wetu ni kuwa; tunapinga matokeo ya uchaguzi ulio fanyika August 9, 2014 kwani ulikuwa sio wa haki na ni BATILI.

“Team Libe for DMV Community President 2014” haitatoa ushirikiano wowote na uongozi wa Jumuia ya Association of Tanzania Community in DMV. Pia tunawaasa wale wapenzi wetu kuto kutoa ushirikiano wowote na uongozi huu batili hadi pale madai yetu yatakapo sikilizwa na kutatuliwa. Tunaomba wapenzi wetu ambao walijitokeza kupiga kura wawe wavumilivu na watulivu katika kipindi hiki kigumu cha kunyang’anywa haki yao ya kimsingi ya kumchagua kiongozei wanao mtaka.

Mwisho, “Team Libe for DMV Community President 2014” inaitaka “Board of Directors” kutengua uongozi huu uliopatikana kwa njia ya dhulma. Ieleweke kuwa, Team Libe for DMV Community President 2014” na wafuasi wake hatutatoa ushirikiano wowote na uongozi wote wa jumuia.

Fuata hii link kusoma maelezo juu ya ubatili ya huu uchaguzi;
http://libe4dmvpresident2014.blogspot.com/2014/08/tamko-team-libe-for-dmv-community.html
http://libe4dmvpresident2014.blogspot.com/2014/08/mchanganuo-zaidi-kuthibitisha.html
http://libe4dmvpresident2014.blogspot.com/2014/08/team-libe-for-dmv-community-uchaguzi-wa.html

Imetolewa August 12, 2014
Team Libe for DMV Community President 2014

30 comments:

Anonymous said...

Bad looser, you are suppose to win with grace.. loosing is part of the political process.

Anonymous said...

Tushawachoka sasa, ukitambua usitambue, mnatuletea Bugudha tu sasa imekua uchaguzi uchaguzi, Hebu tuambieni mnapata faida gani katika haya mambo mpaka mnagombaniana kiasi hicho.

Anonymous said...

Mbona poa tu, wewe na watu wako tafteni community nyeningine basi, mkua mnatuboa sasa, Team Libe team libe, mnatupeperushia stimu man.

Anonymous said...

U keep proving urself that u r not a leader!!!! U need to mature young man!!!

Anonymous said...

Mimi nilikupigia kura Lbe, lakini mimi siyo mpenzi wenu, bali ni mpiga kura wenu. Timu yako inatofautishaje wapenzi wenu na wapiga kura wenu katika kutambua na kutoa ushirikiana kwa Jumuiya??

Anonymous said...

ASIYEKUBALI KUSHINDWA SI MSHINDANI, PUNGUZA JAZBA MAYBE PEOPLE WOULD'VE PICKED YOU

Anonymous said...

Acheni Comments zionekane, si mnataka Uwazi na ukweli. Mbona Mnabania.!!!

Anonymous said...

ASIYEKUBALI KUSHINDWA SI MSHINDANI !!! Team Libe please kubalini matokeo ili tu'move on ,!

Anonymous said...

What happened to UNITED WE STAND, DIVIDED WE FALL!??

Anonymous said...

AHSANTE LIBE KWA KUTUWEKE LINK ZA KUSOMA MATOKEO YA HUU UCHANGUZI MUNGU AWE NA WEWE DAIMA.

INASIKITISHA SANA KWA KWELI NA DJ LUKE AHSANTE FOR THIS TIME KUTUWEKEA HABARI ZA LIBE

Anonymous said...

mburaaaa, hivi jamani kampeni si zimekwisha toka jumamosi mchana. wewe kama kweli una wafuasi anzisheni chama chenu cha watanganyika dmv-metro. wewe nani alikwambia mtu akikupigia kura ndio mfuasi wako. umeshindwa sisi wanajumuiya tunaendelea na jumuiya yetu. wewe baki na timu libe yako ya watu watano.m dj usiibanie hii ni kuelimisha tu tumechoka na huu ujinga wa hao watoto.

Anonymous said...

ELECTION DMV 2014
Libe unajiharibia sana hata ukitaka kugombea tena. Nilikupigia kura ndugu yangu, lakini naona kama niliipoteza, and candidly, I'm disappoint with your rogue behavior! Kwanini uko desperate hivyo? Kama vile labda ulikuwa unaandaa platform/CV ya kugombea CHADEMA nyumbani? Politician aliepitia jandon lazima anajua kuwa kuna kushindwa pia! Hii inaonyesha wazi kuwa hukuwa na contingent plan, meaning that you were only planned to win and not the contrary.
Kabla hujaandaa T-Shirt za kavaa, mara tu ukishada urais, ulitakiwa ujiulize swali---[What If???]. Pili, badala ya kuandaa victory speech peke yake, unaandaa concession speech pia, just in case unexpected happened. I don't blame you because you either had bad advisors around you or you defied their advice.
Tatu, kamati ya uchaguzi WALIJITOLEA 4 FREE! They worked tireless around the clock to make sure everything went smooth. Remember layers of security we had to go thru b4 voting---impressive, wasn't it??? These dedicated individuals were well prepared and they deserve no less than credit! We can't trash that simply because we didn't get what we wanted!
Nne, Was there inconsistencies? Yes! Was it unprecedented? No! Actually, voting irregularities happen more often even in the countries that regarded to have high level of democracy in the world. Take USA, for-example Bush Vs Gore in 2000, ONLY about 11, 000 votes were to decided the election, in country with over 3M people! Without going into details(can be googled), Bush ended up being a president although everybody believe that Gore won that election.
BUT you know what happened and it was unprecedented? Gore put the country first!!! So, Mr. Libe, be Gore of 2000 and put Tanzanian community Kwanza, please???????

Thanks!

Anonymous said...

timu libe ndio kitu gani msaada tutani jamani. ni timu ya mpira wa miguu,kikapu au netiboli. au timu ya pooltable.

Anonymous said...

KIONGOZI LIBE UMESOMEKA KIRUMI,

"WAACHENI WAFU WAZIKE WAFU WAO"

"USIKETI NA WANAOKULA NYAMA KWA PUPA"

TEAM LIBE NAHAKIKI UJUMBE HUU.

Anonymous said...

Miye nasubiri kula Nyama choma Saturday!!!! Hizi longo longo nishachoka kuzisoma.... MAWAKALA mnadaiwa kura maana nyie Ndiyo mliowahesabia wagombea wenu MBELE ya Bodi na Tume..

Anonymous said...

Maneno ya mkosaji na ushuhuda wa uduni wa upeo wako finyu, kibaya kijitembezao

Anonymous said...

When illegal means are used to win election, the outcome should be illegal too. Why only there were problems with the Presidential position not any other positions? If it is an honest mistake we should see the same problems with other positions. Guys wakeup. Libe is not wrong

Anonymous said...

Uchaguzi urudiwe na mwamoyo..angoke kwanza....sina tatizo na Idd..lakini acha haki itendeke.

Anonymous said...

Nini wewe na team yako!! Mnataka kudandia train kwa mbele, Alah, Mjini hapa sio kila mtu anakua kiongozi, u have loooong way to go son, punguza jazba..

Anonymous said...

Mimi nili vote kwa Libe lakini kwa hili ananifanya nifikirie mara mbili mbili pengine hata ni regret kwa nini nili vote kwake. Ni kwa nini asi concede tu maneno yakaishia hapo. Sasa anataka kutuambia nini ama anatuonyesha yeye ni mtu wa aina gani. Je ni kweli alikuwa serious na hii community? Kwa kweli watu kama hawa ni wa kuwaangalia sana next time sio watu wa kuwapa kura hivi hivi tu.

Anonymous said...

Oyaa acha uzushi wewe, unaishi wapi USA population sio 3M is more than 300million s, usiwe chakubanga 15votes too small wazee wamegeuza wale.libe was going to clean up uzushi, wamemminya wazee wa D.c

Anonymous said...

kura 15 zimetoka wapi?iddy unajitangaza ushindi kwa lipi?

absente ballots ziko wapi na kura ngapi zimeharibika mbona hamsemi.
na usiweke hii comment wewe dj luke tunajua wewe uko team iddy.

comment nyingi zimetumwa kumuonea huruma libe umezitia kapuni wewe dj luke na ibra ny wachoyo wa roho zenu

Anonymous said...

Ndugu yangu Libe, tafadhali badilisha jina liwe Libe Savimbi.

Anonymous said...

8 07 pm very nice. Well written

Anonymous said...

Haya salama alekum ma bibi na ma bwana ,bwana yesu asifiwe ,jamani hizi ngolongolo za uchaguzi zimezidi hebu basi hizo kura tisa apewe yeye tuone kama ataakiongezewa hizo atashinda ,na kumbukeni apa DMV achaguliwi raisa kwasababu kafanya nini ,au anamjua nani ukarim ,ucheshi ,heshima vinachangia ,sio wewe unakurupuka kila siku kusema watu vibaya usalimii watu ,unamajibu ya ovyo karibu na uchaguzi ndio unaanza kuonekana kwenye nyumba za ibada tofauti nakuwapigia watu simu na kuwasalimia ,hizi tabia tuziache jamani tujifunze kama wewe unajua unataka kugombea urais 2016 Basi anza kurekebisha tabia yako tangia sasa na kuwa muangalifu na watu wanao kuzunguka wanaweza wao kuwa chanzo cha kukuharibia mipango yako . movie imesha kwisha sterling NI IDD SANDALE ,movie part 2 inakuja baada ya miaka 2. bi ubwa naongea ,Ankali luka sija tukana mtuu atii usibanie komenti yangu tafadhalwi.

Anonymous said...

KAPUMZIKE KAKA TEAM LIBE, TIME WILL TELL, SUBIRI CHAGUZI NYINGINE.

Anonymous said...

usumiye roho yako libe hawa watu wote mbururaz na hata walio soma pia ni mbururaz kwa vitendo vyao wanaishi majuu lakini akili zao zakilofa lofa na very local.

mungu atakulipia libe madhal umeshawajua walivyo watu hawa mbururaaz.

Anonymous said...

Libe acha ushamba. Marekani umekuja lini. Hapa kwenye uchaguzi unachofanya ni kuhakikisha hudhulumiwi. Ukidhulumiwa unakonsidi. Usituletee vurugu za mjumbe wa nyumba kumi. Utasababisha uchaguzi ujao wapiga kura waulizwe vinumbla vya kuishi mjini hapa.

Anonymous said...

Heading "ELECTION DMV 2014" posted at 8:07PM, babu KUBWA. Ungetoa jina lako, ningekutumia zawadi -----good insights!!!!

Aliekosoa US population, it's true that population ya Marekani is over 300M. Bado hiyo number is over 3M

Anonymous said...

Kuna ajuza moja anatokea mji mwingine anaanza kutoa pumba zake kama anaishi DMV wakati haya muhusu kabisa mambo ya huku .Bibi kama maisha yame kushinda nenda shule hii part ni ya watu wa DMV hujaalikwa na mtu na DMV haina UKABILA ,UDINI , RANGI YA MTU ,AU WEWE UMETOKEA MASAKI WALA MANZESE KWA MFUGA MBWA WATU WOTE TUKO PAMOJA USITULE BALAA APA NA DMV HAINA UCHAMA NAOMBA HILO ULITIENI KICHWANI MWAKO MAISHA KAMA YAMEKUSHINDA UKO ULIPO RUDI DMV KWA AMANI LAKINI MAJUNGU YAACHE HUKO HUKO .