Thursday, October 30, 2014

High Tech Homeless man

A homeless man Lance Johnson was captured by Kali TV busy using computer in-front of the World Bank headquarters in Washington DC.



2 comments:

  1. ndo mjuwe usimdharau mtu huwezi jua jamaa labda alikuwa na kibarua na nyumba na familia sema maisha ndo yame m lostisha akawa hivi tena wengi wa homeless si bongo lala wana akili sana na fikra nzuri.

    usimdharau mtu maisha ni mapito,ishi na wenzako kwa wema na upendo majivuno weka kandoo na kuwa mwenye heshima na wenzako.

    maisha mpitooo.

    kuuinamako ndo kuuinukakooo.

    ReplyDelete
  2. usikute ni shushushu....

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake