MKIDONDIKA MSEMA MNAMIKOSI AU MMEROGWA, SIKU ADHIMU MUPIGE PICHA JUU YA MITI NA MAVIATU JUU, JAMANI MMEKOSA SEHEMU NYENGINE YA KUPIGA PICHA?
Yaani wee mdau hapo juu umesema kabisa, wanakawia basi kusema tumelogwa, wala hatujui ilikuwaje tukapamba mti..Lol.
jamani mambo ya adventure hayo...
mimi nataka nikiowa nipige picha kama hii nimeipenda sana style yao,big up man.kila mtu ana style yake,i love it .wanandoa hawa wataisi kwa furaha na upendo wa hali ya juu kwa sababu hawa copy watu wanavyofangaga wao wameamua kufanyaga vya kwao, kivyao vyao.I love it.
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku yake
MKIDONDIKA MSEMA MNAMIKOSI AU MMEROGWA, SIKU ADHIMU MUPIGE PICHA JUU YA MITI NA MAVIATU JUU, JAMANI MMEKOSA SEHEMU NYENGINE YA KUPIGA PICHA?
ReplyDeleteYaani wee mdau hapo juu umesema kabisa, wanakawia basi kusema tumelogwa, wala hatujui ilikuwaje tukapamba mti..Lol.
ReplyDeletejamani mambo ya adventure hayo...
ReplyDeletemimi nataka nikiowa nipige picha kama hii nimeipenda sana style yao,big up man.
ReplyDeletekila mtu ana style yake,i love it .
wanandoa hawa wataisi kwa furaha na upendo wa hali ya juu kwa sababu hawa copy watu wanavyofangaga wao wameamua kufanyaga vya kwao, kivyao vyao.
I love it.