Friday, November 7, 2014

MSANII HAFSA KAZINJA SASA ANAITWA CHRISTINA KAZINJA

Msanii wa Bongo Fleva Hasfa Kazinja ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook kwamba amebadili dini na sasa anajulikana kama Christina Kazinja, msanii huyo ambaye maarufu kama malikia wa Zouk na aliyetamba na wimbo wake wa pressure aliomshirikisha msanii mwingine wa Bongo Fleva Banana Zorro.

Hapa chini ndicho alichokiandika kwenye ukurasa wake wa facebook.

3 comments:

  1. Inna Lilah waina ilaihi rajiuun

    ReplyDelete
  2. MWACHE AENDE MWANAKWENA HUKO AKUTAKAKO.

    ReplyDelete
  3. Huenda ukafanikiwa huko ulipokwenda,nakutakia maisha mema.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake