Sunday, December 28, 2014

CHEZEA USINGIZI WEWE PITIA HIZI PICHA MBILI NA JIPE JIBU MWENYEWE

Usijiulize alifikaje hapa juu jibu ni usingizi ndiyo mpango mzima ukifika tu basi aijalishi upo wapi.
Huyu nae akikua sijuhi atakuwa fundi viatu au?, usingizi kweli siyo mchezo

2 comments:

  1. ebwa eeh jamani kweli mambo haya yametokea.duu kama mwanao unamuwahisha haraka kitandani wasije ma social workers wakakuriposi wa wazee wa kazi.

    imenifurahisha kweli picha hizi.

    chezea usingizi wewe wametoka kupiga mabox taaban hawa watoto haaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  2. ebwa eeh jamani kweli mambo haya yametokea.duu kama mwanao unamuwahisha haraka kitandani wasije ma social workers wakakuriposi wa wazee wa kazi.

    imenifurahisha kweli picha hizi.

    chezea usingizi wewe wametoka kupiga mabox taaban hawa watoto haaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake