Monday, December 29, 2014

Cyber Security na Tanzania Yetu.

Utangilizi na utambulisho wa Ben Mabby, Jr katika kuelezea ni nini anakusudia kufanya kwa kutumia YouTube Platform.
Karibu.

2 comments:

  1. Mhe. Ben tunashukuru kwa kujitolea kwako kutaka kutuelimisha watanzania wenzako. Tunasubiri sehmu inayofuatia pamoja na mawasiliano yako ya barua pepe uliohaidi

    ReplyDelete
  2. Nakushuru kwa kutambua mchango huo, hata hivyo ningekushauri u-subscribe channel yangu (Busumi Bay NexIT) ili uwe wa kwanza kujua once ninapo-post video kwenye YouTube.
    Kuhusu barua pepe nimeweka kwenye wall ya channel kwenye YouTube platform.
    Siku njema.
    Ben.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake