PROFESA ANNA TIBAIJUKA AWATEMBELEA WAPIGA KURA WENYE KERO YA MAKAZI
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Mkazi na Mbunge wa Muleba tiketi ya CCM Profesa Anna Tibaijuka akifanya ziara ya kuwatembelea wapiga kura wake kufuatilia kero za makazi wanazozipata.
Hii Kali sana unatembea kwa miguu bila viatu na kukaa nje ya iko kibanda wakati una 1.6 bil kwenye bank account. Hiyo hela ingeweza kuwafanya watu wote wa sehemu hiyo kuwa na maisha bora sana. I am not buying this photo OP
Hii inanitia mashaka kuhusu hawa maprofesa wetu kama wanapata hisi shahada kwa uelewa wao au uwezo mkubwa wa kukariri. Wewe umeshikwa na vithibisho vya kuwekewa zaidi ya bilioni moja kwenye account and then unakwenda kuwapiga changa la macho wananchi wako masikini kwa kupretend unatembea bila viatu na kukaa nao kwenye mkeka? Ama kweli mhaya hana haya. Kulikoni ukitoka pedicure inakusubiri.
Hayo mabillioni ya escarow si yange build modern houses for the whole kata.hehheee, bongo politians kwa kudanganya wananchi - they are no one. Good luck profesa
Inasikitisha Sana kuona jinsi Watanzania tunaendelea kufanywa wajinga. Huyu Mama, kweli sikatai ni moja ya Wachapa kazi wazuri. Alijiabisha kwa kushiriki katika uchotaji wa pesa za Umma. Hata akitembea peku kwa miguu Leo hii haina tena dhawabu kwa Mungu labda arudishe 1.6 billion ya wanyonge.
Tumechoka kudanganywa. Mama kweli hatukatai Ni mchapa kazi mzuri Sana ILA alijidanganya na pesa za umma. Leo hii mama hata akitembea peku hapati dhawabu kwa Mungu labda arudishe pesa ya Wanyonge
mnamsema sana mmezidi na mkome kuwasema wahaya kwani makabila menginewe hawajafurunda na kugaiwa hizo pesa mbona mnawanyamazia kimya.
muajibisheni mkuu wa nchi wenu kwanza mso haya wala msoona vibaya, ma mbururaaza always will be mabururaaaz.pigeni maboksi huko mpaka mtoke roho zenu.
ya Tanzania mnayatakia nini na nyinyi si mko marekani.ncha kali kweli huko kila leo mnayatafuta ya Tanzania tafuteni ya huko kwenu kwa Obama au kizungu kinakupigeni chenga?
wee anony January 13, 2015 at 10:58 PM Nani kakwambia kwamba wachangiaji wote hutu tupo huko kwa obama. Sisi inatuuma kila tunavyowaona hawa wezi na watoto wao wanavyonyanyasa hapa nchini kwa hela ya walipa kodi. Sijui kama unajaribu kutetea wizi wa mama yako au ni mmoja wa wapumbafuuu wasiofikiria.
Kwa taarifa yako sio kila anayeishi USA ni mbeba boksi. Tembea uone. Watu wana maisha weww. Wivu tuu umekujaa..wee ma vumbi huko bongo. Watu wana life huku wewe. Unafikiri kila mbongo aliye USA hana elimu au makaratasi. Watu tuna maisha ya maana USA na Bongo. Acheni wivu wenu wa kijinga eti kila aliye USA mbeba..box.
Anafanya Kazi za Wizara yake jimboni....
ReplyDeleteAnkutemebeleenni hela yenu katia mfukoni, ndio kujiosha au vipi?
ReplyDeleteHii Kali sana unatembea kwa miguu bila viatu na kukaa nje ya iko kibanda wakati una 1.6 bil kwenye bank account. Hiyo hela ingeweza kuwafanya watu wote wa sehemu hiyo kuwa na maisha bora sana. I am not buying this photo OP
ReplyDeleteUlikuwa wapi toka 2010
DeleteHii inanitia mashaka kuhusu hawa maprofesa wetu kama wanapata hisi shahada kwa uelewa wao au uwezo mkubwa wa kukariri. Wewe umeshikwa na vithibisho vya kuwekewa zaidi ya bilioni moja kwenye account and then unakwenda kuwapiga changa la macho wananchi wako masikini kwa kupretend unatembea bila viatu na kukaa nao kwenye mkeka? Ama kweli mhaya hana haya. Kulikoni ukitoka pedicure inakusubiri.
ReplyDeleteSi amuombe tu Kaka yake Rugemalira ama Bishop .....
ReplyDeletevyovyote vile Watanzania hawana Imani na Uongozi wote wa CCM na huyu mkuu pia wa huko UGANDA Tiba. Inasikitisha. Kwanini watu hawana viatu?
ReplyDeleteHayo mabillioni ya escarow si yange build modern houses for the whole kata.hehheee, bongo politians kwa kudanganya wananchi - they are no one. Good luck profesa
ReplyDeleteHow can she be sacked as a Minister and still be an MP - the code of conduct are all different?
ReplyDeleteFrom the posh offices of UN at KCC Nairobi to barefoot - good luck professoar. You can only fool u but not god. All the best.
ReplyDeletecompare hiyo na hekalu lake la Makongo. It makes me cry and makes me so sick!!!!
ReplyDeleteInasikitisha Sana kuona jinsi Watanzania tunaendelea kufanywa wajinga. Huyu Mama, kweli sikatai ni moja ya Wachapa kazi wazuri. Alijiabisha kwa kushiriki katika uchotaji wa pesa za Umma. Hata akitembea peku kwa miguu Leo hii haina tena dhawabu kwa Mungu labda arudishe 1.6 billion ya wanyonge.
ReplyDeleteTumechoka kudanganywa. Mama kweli hatukatai Ni mchapa kazi mzuri Sana ILA alijidanganya na pesa za umma. Leo hii mama hata akitembea peku hapati dhawabu kwa Mungu labda arudishe pesa ya Wanyonge
ReplyDeletemnamsema sana mmezidi na mkome kuwasema wahaya kwani makabila menginewe hawajafurunda na kugaiwa hizo pesa mbona mnawanyamazia kimya.
ReplyDeletemuajibisheni mkuu wa nchi wenu kwanza mso haya wala msoona vibaya, ma mbururaaza always will be mabururaaaz.pigeni maboksi huko mpaka mtoke roho zenu.
ya Tanzania mnayatakia nini na nyinyi si mko marekani.ncha kali kweli huko kila leo mnayatafuta ya Tanzania tafuteni ya huko kwenu kwa Obama au kizungu kinakupigeni chenga?
msohaya wababe maboksi mwafyuuuuuuuuuuuuuuuuu.
wee anony January 13, 2015 at 10:58 PM Nani kakwambia kwamba wachangiaji wote hutu tupo huko kwa obama. Sisi inatuuma kila tunavyowaona hawa wezi na watoto wao wanavyonyanyasa hapa nchini kwa hela ya walipa kodi. Sijui kama unajaribu kutetea wizi wa mama yako au ni mmoja wa wapumbafuuu wasiofikiria.
ReplyDeleteKwa taarifa yako sio kila anayeishi USA ni mbeba boksi. Tembea uone. Watu wana maisha weww. Wivu tuu umekujaa..wee ma vumbi huko bongo. Watu wana life huku wewe. Unafikiri kila mbongo aliye USA hana elimu au makaratasi. Watu tuna maisha ya maana USA na Bongo. Acheni wivu wenu wa kijinga eti kila aliye USA mbeba..box.
ReplyDelete