ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 7, 2015

Wakati Wengine Wakitambulisha Wapenzi Wao Ali Kiba kaanza Mwaka kwa Kuwatambulisha Watoto wake kwa Mashabiki

"Nawapenda sana watoto wangu! Kingine ambacho kinabeba na kita endelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. 
Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote, Amin

1 comment:

Anonymous said...

amina rabbi amina.awalinde sana watoto wako na husda na uchawi wa mafisadi wote amina.

na bora uowe kuzaa nje ya ndoa si vizuri kama kweli wewe mtoto wa kiislamu. na mashallah watoto wako wazuri hasa hasa kile kidume cheupe dawa kafanana na wewe sana hata huwezi kusema huyu si wangu copy right yako kabisaa.

mashallah mungu akulindiye watoto wako na wape malezi mema but malezi yanahitaji mama na baba si baba waa si mama peke yake wazazi wawilli wanahitajika katika kulea mtoto.

bora uowe ushauri wa bure kiba boy