Mhh siasa za nyumbani bwana kama michezo ya kuigiza sasa hao waliovaa hizo nguo nyeusi kama akina spider man na kufunika midomo ndio nani.Hata nchi zilizoendelea sijawahi kuona.Na hapo tupo kijijini tukiwa mjini inakuwaje sasa.Haya bwana mwisho wa siku mnawatisha na wapiga kura.Kazi kwelikweli
Yaani picha Zote hizo umeona hayo tu!! Vipi wingi wa watu waliojitokaza kumsikiliza mbunge wap? Mbeya Kuna baridi na vumbi na hao jamaa wanaendesha pikipiki kupita kila maeneo ya hiki Hilo. Halafu sio kila kinachofanyika ulaya Ndio kiwe cha TZ vingine tunaweza anzisha wenyewe.
Mhh siasa za nyumbani bwana kama michezo ya kuigiza sasa hao waliovaa hizo nguo nyeusi kama akina spider man na kufunika midomo ndio nani.Hata nchi zilizoendelea sijawahi kuona.Na hapo tupo kijijini tukiwa mjini inakuwaje sasa.Haya bwana mwisho wa siku mnawatisha na wapiga kura.Kazi kwelikweli
ReplyDeleteYaani picha Zote hizo umeona hayo tu!! Vipi wingi wa watu waliojitokaza kumsikiliza mbunge wap? Mbeya Kuna baridi na vumbi na hao jamaa wanaendesha pikipiki kupita kila maeneo ya hiki Hilo. Halafu sio kila kinachofanyika ulaya Ndio kiwe cha TZ vingine tunaweza anzisha wenyewe.
ReplyDeleteMamninja wanapumua? Joto vipi? Nice costume by the way! For TZ Haloween?
ReplyDelete