Wednesday, February 18, 2015

TEMBAPHOTO OFFICIAL PHOTOGRAPHER SIKU YA SHEREHE ZA CCM NEW YORK

 Ukumbi wa sherehe za CCM New York  tarehe 21 mwezi wa 2, Tembaphoto ndani ya mjengo kukuletea ukodak wa kiwang
 Tembaphoto ni setting ya Camera tu hii bila Edit wala 360.



Ukiwa na shughuli yeyote inayohusu ukodak basi ni tembaphoto ndiyo suluhisho ya yote. Tembelea web site ya tembaphoto hili kujionea ubora wa picha.
http://tembaphoto.com/


2 comments:

  1. Kaka< quality iko juu sana. unatumia camera gani?

    February 18, 2015 at 5:48 PM

    ReplyDelete
  2. mjasilia mali mr Temba go baby go go go.

    mara tutasikia ana blog na tv station yake karibuni kama michuzi alianzaga hivi hivi pole pole.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake