Wednesday, February 18, 2015

UMEIPENDAJE HII OSTAZ JUMA KUWEKA SIMU NA HEADPHONE KWENYE SAHANI

Huyo ndio Ostaz Juma simu yake na headphone zake kaweka kwenye sahani wakati akipata menu yake anajipendaje wewe unaonaje hii si ni powa?.

2 comments:

  1. Mimi naona nina ushamba na hajitambui.

    ReplyDelete
  2. anajitambu na kwanini bwana mmezifuta zile comment zote bwana vijimabo achene hizo tabia wakuu wetu.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake