Tuesday, February 17, 2015

USIKU WA VALENTINE "JIACHIE NIGHT" WAFANA HOUSTON

Usiku wa  Jiache Night ulioletwa na BongoKlan Entertainment siku ya Valentine utakuwa ni usiku wa kukumbukwa kwa wakazi wengi wa jiji la Houston, TX. Party la nguvu lilidondoshwa likiendana na Muziki mkali kutoka kwa Bombastic Sound wakiongozwa na Dj.Isser. Pata picha za tukio hilo .




















































































2 comments:

  1. watu mlitokelezea. wapi power couple ile ya mugongo mugongo :)

    ReplyDelete
  2. Another nice party ya wastaarabu! Hata wajukuu wenu wakija kuona hizi picha safi kabisa..

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake